ZIJUE FAIDA ZA KUTUMIA TANGAWIZI

Tangawizi ni moja viungo vyenye faida kubwa katika miili yetu.Tangawizi ina virutubisho muhimu kwa ajili ya mwili na ubongo wa binadamu
 ZIFUATAZO NI FAIDA ZA TANGAWIZI KI AFYA

  1. Tangawizi huweza kutibu aina mbalimbali za kichefuchefu ikiwa ni pamoja na kile kisababishwacho na ujauzito (Morning sickness )
  2. Tangawizi huweza kuondoa maumivu ya misuli ikiwa ni pamoja na yale yasababishwayo na mazoezi
  3. Inaweza kuzuia madhara yatokanayo na mfumo wetu wa kujilinda ( Anti- infammatory effects) kama vile Osteo arthritis
  4. Tangawizi inaweza kushusha kiwango cha sukari iliyozidi mwilini 
  5. Tangawizi huweza kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo
  6. Tangawizi hutibu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula unaposhindwa kufanya kazi vizuri
  7. Tangawizi hupunguza kwa kiasi kikubwa maumivu yasababishwayo na hedhi (Dysmenorrhea)
  8. Tangawizi hupunguza uwezekano wa kupata cancer
  9. Tangawizi huimarisha uwezo wa ubongo kufanya kazi
  10. Tangawizi hupunguza cholesterol mwilini
  11. Tangawizi pia huimarisha mfumo kujilinda wa mwili ( Immunity)


Tangawizi ina faida kubwa mwilini hivyo tupende kuitumia kila wakati

Comments

Popular posts from this blog

KWA NINI KILA MJAMZITO NI LAZIMA APEWE SP?

ARTESUNATE TIBA SAHIHI KWA MALARIA KALI

ZITAMBUE DALILI NA ISHARA ZA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI