Karibu pharmacist Mdugi blog

Habari ndugu msomaji wa blog hii tunakukaribisha sana kwenye blog yako hii ya pharmacist Mdugi blog hii itakupa mafunzo jinsi ya kutunza afya yako.Haya yatafanyika kwa kukuelekeza matumizi sahihi ya dawa mbalimbali truzitumiazo


Unatatizo lolote la kiafya basi umefika sehemu sahihi. Uliza swali lako kwenye comment hapo chini utajibiwa kwa kupewa maelezo mazuri ili tatizo lako liishe kabisa. Blog hii inaendeshwa na mtaalamu wa afya aliyebobea katika fani ya dawa (pharmacist) za magonjwa ya binadamu.

Ukiwa na tangazo lolote unataka kutangaziwa kwenye blog hii inayotembelewa na maelfu ya watu kwa siku basi leta tangazo lako kwa email hii mdugig@gmail.com Utawekewa tangazo lako na kulipia pesa kidogo tu. Pia unaweza share na marafiki blog hii watumie link ya blog hii www.pharmacistmdugi.blogspot.com huko facebook twitter instagram na hata whatsapp au telegram ili jamii yote ije kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo afya kwenye blog yetu ya mtaalamu wa afya. Karibuni sana

Comments

Popular posts from this blog

KWA NINI KILA MJAMZITO NI LAZIMA APEWE SP?

ARTESUNATE TIBA SAHIHI KWA MALARIA KALI

ZITAMBUE DALILI NA ISHARA ZA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI