MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NI NINI?
Matumizi ya dawa huwa sahihi pale ambapo dawa sahihi inatolewa kwa mgonjwa sahihi,kwa kiwango sahihi,kwa wakati sahihi, kupitia njia sahihi ili kutibu ugonjwa sahihi, kwa gharama sahihi Hayo yote yakifanyika kwa ufasaha basi matumizi ya dawa yanakuwa sahihi
NINI FAIDA ZA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA?
NINI FAIDA ZA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA?
- Huwezesha mgonjwa kutibiwa kwa usahihi
- Hupunguza uwezekano wa usugu wa vimelea vya magonjwa kutokea
- Hupunguza gharama za matibabu
- Hupunguza muda wa wagonjwa kulazwa hospital

Comments
Post a Comment